Ilipo hazina ya wakazi wa Singida

Makumbusho ya mkoa wa Singida ni eneo la kujifunza nakutunza kumbukumbu za kihistoria zilizokuwa zikitumika na wakazi wa Singida kwa ujumla na makabila mbalimbali yanayoishi eneo hilo.

Mishale, ngao, upinde, visu vya asili,shanga, kigoda,ngozi za wanyama mbalimbali wa porini ni baadhi ya vitu vilivyohifadhiwa katika makumbusho.

default

Vitu hivyo vimekuwa kivutio kikubwa cha watalii tofauti tofauti kutoka ndani na nje ya nchi kutembelea eneo hili kujifunza mambo mbalimbali ya kistoria.

Tanzaniasafarichannel #Utalii #Makumbushosingida #singida