Jengo lililokuwa likitumika kama mahakama enzi za ukoloni

Hapa ni Kalangalala, Kijiji cha Katoma mkoani Geita ambapo jengo hili lilikuwa likitumiwa na wakoloni kutoa hukumu mbalimbali kwa wananchi waliokiuka sheria mbalimbali za wakati huo.

Kwa hivi Sasa, mara kadhaa jengo hili la kihistoria limekuwa likitumika kama mahakama ya mwanzo, na baadhi ya wazee wamekuwa wakilitumia kama sehemu ya kufanyia baraza la wazee.

Likes:
0 0
Views:
73
Article Categories:
History