Kisima walichotumia wapigania uhuru

By : Happyness Hans

Maajabu makubwa kisima hiki ni kwamba kinapatikana mita chache kutoka baharini na kiko usawa wa bahari lakini maji yanayopatikana hapa ni maji baridi yasiyo na chumvi kabisa.

Rais wa Sasa wa Zimbabwe, Emmerson Mnangagwa ni miongoni mwa watu waliotumia kisima hiki wakati huo wa mafunzo ya kijeshi.

Likes:
0 0
Views:
133
Article Categories:
History