Mti uliotumika kunyongea kipindi cha ukoloni

Maeneo mengi yalikuwa yana sehemu maalumu ya kunyongea wananchi waliofanya makosa enzi za ukoloni.

Hapa ni Kalangalala mkoani Geita, sehemu ambayo kulikuwa na mti maalumu ambao ulitumika na wakoloni kuwanyonga wananchi waliokutwa na makosa mbalimbali mara baada ya kusomewa mashitaka yao katika mahakama iliyokuwa ikipatikana eneo hilo hilo la Kijiji cha Katoma.

Likes:
0 0
Views:
71
Article Categories:
History