Tunu ya michoro ya mapangoni

Haya ni mawe mekundu na njano yajulikanayo kama rangi za kuchorea ama kwa Kiingereza ‘Red and Yellowish Ochre Drawing Paints’.

Ni mawe yaliyokuwa yakitumiwa kuchora mapangoni na kwa hapa Kondoa Irangi, yametumika kuchora Michoro ya Pahi ambayo ni michoro iliyochorwa kwenye takribani mawe 1000 katika vilima vya Pahi.

Mawe haya mekundu yanetangulia yale ya rangi nyeupe na nyeusi na haya hutumika pia kwenye matambiko.

Likes:
0 0
Views:
617
Article Categories:
HistoryTourism