Shindano la kufanya ziara ya Kitalii na timu ya ‘Cabbies Do Kilimanjaro’

Mtanzania/Anayeishi Tanzania/Follower wa akaunti (@tz_unforgettable) katika mtandao wa “Instagram” Umri wa miaka 18 hadi 35/Mwenye afya na akili timamu.

Watumishi au washirika wa taasisi za Wizara ya Maliasili na Utalii; Waajiriwa au watoa huduma katika sekta ya utalii na wanandoa,wapenzi, wanafamilia wa karibu au washirika wa biashara au taasisi ziliotajwa hapo juu hawaruhusiwi kushiriki.

Bodi ya Utalii Tanzania, Hifadhi za Taifa na Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro (ikiwa ni pamoja na wawakilishi wake walioidhinishwa) wana haki ya kuchunguza watumiaji na/au akaunti zenye ulaghai, matusi , au tabia zisizoeleweka kwa hiari yao, ndani ya muda wa promosheni au baada ya washindi kuchaguliwa. Aidha, Taasisi tajwa zina haki, kwa hiyari yao, kumuondoa mshiriki bila kutoa taarifa kwa mshiriki.

Likes:
1 0
Views:
702
Article Categories:
KUSINIMAGHARIBIMASHARIKI