Maporomoko ya Maji Luika

Maporomoko ya Maji Luika ni miongoni mwa vivutio vya utalii vinavyopatikana mkoani Songwe, yakitoa maji yake kutoka Mto Luika.

Chanzo cha maji cha Mto Luika ni Mto Lupa uliopo Chunya ambao hupeleka maji Ziwa Rukwa.

Maporomoko ya Maji Luika yanapatikana Mbangala wilaya ya Songwe mkoani Songwe.

Makala maalum kuhusu mto huo itakujia hivi karibuni kupitia Tanzania Safari Channel.

Likes:
0 0
Views:
522
Article Categories:
Tourism