Mchezo wa ‘Zip line’

‘Zip line’ ni mchezo ambao watu wanapita juu ya waya kutoka eneo A kwenda B kwa lengo la kutazama mazingira ya chini kama vile bonde, wanyama na miti mbalimbali.

Mchezo huu unashauriwa kuchezwa na watoto kuanzia  miaka mitano mpaka watu wazima wa umri wa miaka 68 na haushauriwi kuchezwa kwa watu wenye shinikizo la damu ya kushuka.

Zip Line hii ipo Iringa eneo la Kihesa Kilolo ikiwa na Urefu wa ulalo wa mita 198 na urefu wa kwenda chini ni Mita 60.

Likes:
0 0
Views:
107
Article Tags:
Article Categories:
Tourism