Umewahi kusikia utalii wa madini?

Kama bado, basi usijali. Kupitia Tanzania Safari Channel tutakuletea utalii wa madini kutoka wilayani Ludewa mkoani Songwe ambapo kuna hazina kubwa ya madini ya chuma.

Madini hayo pamoja na madini ya makaa wa mawe yanapatikana katika safu za Milima ya Liganga.
 
Endelea kutazama Tanzania Safari Channel pamoja na kutembelea kurasa zetu za mitandao yake ya kijamii kujifunza zaidi.

Likes:
0 0
Views:
547
Article Categories:
Tourism