Utalii wa Ndege Kondoa

Ndani ya Pori la Akiba Mkungunero wilayani Kondoa, Dodoma upo utajiri mwingi wa vivutio vya utalii ikiwemo ndege.

Ndani ya Mkungunero Game Reserve, eneo lenye ukubwa wa kilometa za mraba 743 unaweza kujionea aina mbalimbali za ndege wakiruka kutoka tawi moja kwenda jingine huku ndege wengine wakiwa migongoni mwa wanyama wapatikanao ndani ya Pori la Akiba Mkungunero na kupendezesha mandhari la pori hilo kama ionekanavyo pichani.

Likes:
0 0
Views:
598
Article Categories:
Tourism