Ifahamu ngoma ya asili ya Wayege

Wayege ni wawindaji, Mnyamwezi anayewinda huitwa Myege.

Ngoma ya Wayege hupigwa baada ya kuwinda, kuvuna ama katika Tiba.

Vazi la Wayege ni Singa, kitambaa cheupe ama chekundu na silaha ya uwindaji aidha mkuki ama gobore.

Historia inasema kuwa Wayege walikuwepo kuanzia miaka 1620.

Ngoma huchezwa kwa ushirikiano na furaha.

Likes:
0 0
Views:
547
Article Tags:
Article Categories:
Tourism