Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo

Hifadhi hii iko Kaskazini-Magharibi mwa Tanzania, Kilomita 150 Magharibi mwa mkoa wa Mwanza.

Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo ni kimbilio la ndege wa majini na pia wanyama wakubwa kama Tembo. Wageni katika visiwa hivi pia wanatapata fursa ya kufanya utalii wa uvuvi katika Ziwa Victoria.

Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha Rubondo ni mojawapo ya maeneo machache nchini Tanzania ambapo unaweza kuwapata wanyama adimu aina ya Sitatunga (Marshbuck).

Hifadhi hiyo inafikika kiurahisi kwa kutumia usafiri wa angani ama usafiri wa majini.

Likes:
0 0
Views:
1152
Article Tags:
Article Categories:
Tourism