TSC Safari Facts: Pundamilia

Pundamilia ni wanyama wenye rangi nzuri na ngozi ya kuvutia. Kwa utalii ni rahisi kuwaona kwani hupendelea maeneo ya wazi yasiyo na nyasi ndefu wala miti mirefu.

Likes:
0 0
Views:
264
Article Categories:
Uncategorized