Imeandikwa na Happyness Hans
Hii ndio ilikuwa ofisi kuu ya watumwa ambayo Wajerumani walikuwa wanaitumia katika kuhifadhia watumwa waliotoka Tanganyika Magharibi hususani mikoa ya Kigoma na Tabora na kisha kwenda kuuzwa katika soko kuu la watumwa Zanzibar.
Boma hili pia lilitumika kama sehemu ya mapumzikio kwa ajili ya kuanza safari ya kuwasafirisha watumwa.