By : Happyness Hans
Huu ni mnara uliotumiwa na Wajerumani kwa ajili ya kuwanyonga watu wote waliokuwa wanapinga utawala wa Mjerumani. Wengi wa watu walionyongwa hapa ni wafuasi wa Abushiri hususani katika kipindi cha vita vya Abushiri vilivyorindima kuanzia mwaka 1888 hadi 1889.
Unakosaje kufanya utalii wa ndani na kujionea eneo hili?