Imeandikwa na Happyness Hans
Hili ni eneo lililobeba historia na kumbukumbu adhimu ambalo ni kivutio unachopaswa kutenga muda na kukitembelea.
Majengo haya yalikuwa yanatumika kama chuo maalumu cha kutoa mafunzo ya kijeshi kwa wapigania uhuru kutoka nchi jirani ambazo zilikuwa bado hazijapata uhuru. Kwa sasa ni Chuo cha Kilimo na Mifugo cha Kaole, Bagamoyo.