Jiko lililotumiwa na wapigania Uhuru

By : Happyness Hans

Askari waliokuwa wakipata mafunzo katika chuo kilichoanzishwa na Mwalimu Julius Nyerere, Bagamoyo kwa ajili ya wapigania uhuru walipika chakula chao wenyewe hapa.

Waliandaa maakuli wenyewe wakihofia kuwindwa na maadui ambao wangeweza kujipenyeza nchini na kuwavamia.

Sasa hivi chuo hiki ni cha kilimo na mifugo Kaole, Bagamoyo.

Likes:
0 0
Views:
85
Article Categories:
History