Kisima walichotumia wapigania uhuru

By : Happyness Hans

Kisima hiki ni miongoni mwa visima viwili ambavyo vinapatikana katika chuo kilichotumika kutoa mafunzo ya kijeshi kwa wapigania uhuru wa nchi jirani na pia kilikuwa kinatumika kwa ajili ya kupampu maji na kuyapeleka katika kisima kingine ili kutumiwa na wanachuo kwa maji ya kunywa na kuoga mwaka 1963.

Mahala hapa ni eneo walilotumia pia wapigania uhuru kwa ajili ya mafunzo ya kulenga shabaha.

Likes:
0 0
Views:
125
Article Categories:
History