Mabaki ya Jamatini

By: Happyness Hans

Haya ni mabaki ya lililokuwa jengo la msikiti wa jamii ya Wahindi (Jamatini) tangu enzi za ukoloni walimokuwa wakifanyia ibada zao. Jengo hili lipo toka karne ya 19.

Jamii ya Wahindi hao waliokuwa wafanyabiashara za urembo na kupenda kukaa maeneo ya pwani waliondoka baada ya Vita vya Mjerumani alipotaka kuchukua eneo hilo na kutelekeza msikitini huu.

Likes:
0 0
Views:
178
Article Categories:
HistoryTourism