Makaburi ya askari wa Kijerumani waliouawa

By : Happyness Hans

Eneo hili lilitumika kuzikia askari wa Kijerumani waliokufa katika vita vya Abushiri dhidi ya serikali ya Kijerumani kati ya mwaka 1888 na 1889.

Hata hivyo, waliozikwa hapa ni askari waliokuwa na hadhi katika utawala huo wa Kijerumani.

Ni eneo lenye historia muhimu kulitembelea wewe na familia yako. Wajerumani pia huwa wanalitembelea.

Likes:
0 0
Views:
133
Article Categories:
History