Mbuyu kinyonga

By: Happyness Hans

Eneo hili lilitumika kunyongea watumwa waliokuwa wamedhoofu kiafya (wagonjwa), waliochoka au waliofanya makosa au kuleta ukaidi.

Yaani wewe mtumwa ukionekana afya mgogoro unakula kitanzi hapa. Yaani. Ni hatari!

Likes:
0 0
Views:
302
Article Categories:
HistoryTourism