Mlango wenye miaka 250

By: Happyness Hans

Huu ni mlango uliojengwa na Wajerumani na umekuwa ukitumika tangu enzi hizo na hivyo sasa una miaka 250.

Maajabu makubwa ya mlango huu ni kwamba licha ya kuwa na miaka mingi, haujawahi kuliwa na mchwa au mdudu yoyote na wala kuonesha dalili ya kuharibika mpaka kufikia karne hii ya 21.

Likes:
0 0
Views:
357
Article Categories:
History