Msikiti uliojengewa miaka 250 iliyopita

By: Happyness Hans

Msikiti huu unaojulikana kwa jina la Masjid Bilali ulijengwa na Wajerumani takribani miaka 250 iliyopita. Hata hivyo, katika miaka ya karibuni, msikiti huu uliboreshwa na kukarabatiwa upya kwa ramani ileile iliyotumika wakati unajengwa na Wajerumani.

Msikiti huu unaendelea kutumiwa na waumini wa dini ya Kiislamu kwa ajili ya ibada zao.

Likes:
0 0
Views:
180
Article Categories:
HistoryTourism