Ngome ya kwanza kutumiwa na Mjerumani Tanganyika

By : Happyness Hans

Hili ndilo jengo la kwanza la utawala kujengwa na Mjerumani wakati wa ukoloni hapa Tanzania (Tanganyika wakati huo). Jengo hili ambalo liko Bagamoyo mkoani Pwani linajukikana kwa jina la “Boma la Mjerumani.”

Mjerumani alikuwa analitumia jengo hili kama Ikulu katika kipindi cha utawala wake kuanzia mwaka 1891-1895.

Likes:
0 0
Views:
24
Article Categories:
History