Nyumba aliyoishi Samora Machel

By : Happyness Hans

Hii ni nyumba ambayo Rais wa kwanza wa Msumbiji, Hayati Samora Machel alikuwa anaishi wakati anapata mafunzo maalumu ya kijeshi ili kwenda kushiriki mapambano ya kukomboa nchi yake dhidi ya Wakoloni wa Kireno kati ya mwaka 1963 hadi 1975, mwaka ambao Msumbiji ilipata uhuru.

Endelea kufuatilia Tanzania Safari channel kujua mengi zaidi.

Likes:
0 0
Views:
182
Article Categories:
History