Majani yaotayo kwenye maji moto

Haya ni majani ya joto ardhi kitaalamu yanaitwa Agrostis Scabra ambayo humea kwenye jotoardhi pekee (Maji Moto) na endapo yatamwagiwa maji ya baridi hufa.

Mimea mingine inayomea kwenye joto ardhi ni pamoja na Ukindu na Mirara.

Makala maalum kuhusu joto ardhi itakujia hivi karibuni kupitia Tanzania Safari Cahnnel.

Likes:
0 0
Views:
410
Article Categories:
MAGHARIBITourism