Hili ni jiwe samaki

Jiwe Samaki ni jiwe halisi ambalo halijatengenezwa na mwanadamu ambapo lina muonekano wa kichwa cha Samaki mkubwa aina ya ‘Shark’ ambapo ukilitazama jiwe hilo utaona jicho, mdomo na muundo wa kichwa cha ‘Shark’ kitu kinachovutia watalii mbalimbali kutembelea na kupiga picha na jiwe hilo.

Kivutio hiki cha Kiasili ni moja ya kivutio kinachopatikana kwenye Mlima Igeleke mkoani Iringa katika eneo la Kihesa Kilolo.

Likes:
0 0
Views:
389
Article Tags:
Article Categories:
Tourism