KUHAMA KWA NYUMBU SERENGETI

Ni moja ya maajabu ya dunia yanayovutia watalii wengi nchini ambapo nyumbu takribani milioni 1.7 uhama. Katika kipindi hiki cha mwaka, wanyama hawa huvuka mto Mara kwenda upande wa pili.

Ni tukio la kusisimua kwani nyumbu wengi huliwa na mamba wakati wakivuka, na wengine huzama, lakini hayo hayawazuii nyumbu wengine kuvuka mto kufuata malisho mazuri zaidi upande wa pili.

Likes:
0 0
Views:
524
Article Categories:
Tourism