Mnyamwezi na ‘Mboga Saba’

Inaweza kukushangaza kidogo, lakini Mnyamwezi hana desturi ya kupika mboga moja wakati wa kula, hupika zaidi ya tano.

Mnyamwezi akipika ugali atapika na mboga ya, Nsansa, Nswalu, Uyoga wa Kansolele, Kihembe cha Choroko, Matobolwa,
Asali na kisha Uji na Maembe.

Akipumzika hujituliza na Matunda ya Ntonga.

Ndio maana watani zao Wazaramo huwatania ‘mzigo mzito mpe Mnyamwezi akubebee.’

Likes:
0 0
Views:
746
Article Tags:
Article Categories:
Tourism