Serengeti kinara wa hifadhi Afrika

Hifadhi ya Taifa Serengeti imeshinda tuzo ya Hifadhi Bora zaidi ya Taifa barani Afrika kwa mwaka 2022.

Hifadhi ya Taifa ya Serengeti imeshinda tuzo hiyo kwa mara ya nne mfululizo kuanzia mwaka 2019.

Tuzo hiyo imetolewa na taasisi ya World Travel Awards (WTA).

Aidha, Bodi ya Utalii Tanzania (TTB) imeshinda tuzo ya bodi bora zaidi ya Utalii barani Afrika kwa mwaka 2022.

Likes:
0 0
Views:
631
Article Categories:
Tourism