Vichaka vya Itigi (Itigi Thicket)

Vichaka vya Itigi (Itigi Thicket) ni uoto wa kipekee unaopatikana nchini Tanzania wilayani Manyoni, ambapo katika nchi ya Zambia na Congo DRC vinatambulika kwa jina Sumbu.

Vichaka hivi nchini ni vya pekee kwani vinapatikana maeneo yote ya Manyoni hususani ndani ya hifadhi yal pori la akiba Itigi Muhesi ambapo Tembo, Digidigi, Swala na Nyuki hutumia kama makazi ya kuishi.

Pia vichaka hivi vina umuhimu mkubwa katika kuhifadhi ekolojia ya mahali na kuchochea shughuli za utalii kufanyika kiujumla.
@oliver_trx drone master📷
@emmanuel9397 📷

#Tanzaniasafarichannel#Utalii#Itigi#Rungwa#manyoni#Singida