Miti ya Miembe Uthibitisho wa Njia ya Watumwa

Miti ya miembe iliyojipanga vizuri, uthibitisho wa njia ya watumwa waliosafirishwa wakitokea Burundi, Rwanda wakipitia Kigoma na Mwanza kupitia Ushirombo kisha Tabora wakielekea Bagamoyo kwa ajili ya kuuzwa na kutumikishwa katika mataifa mengine.

Likes:
0 0
Views:
41
Article Categories:
TSC