Mti wa Maajabu

Mti wa maajabu uliopandwa na Mtemi Ruwasa Mdodo mwaka 1932 ili kuchochea upatikanaji wa maji katika eneo lake pamoja na kutunza mazingira.

Mti huu unaitwa wa maajabu kutokana na wenyeji kuamini ukichuma majani au kukata shina la mti lazima udhurike.

Wenyeji wamekuwa wakiutumia kama mti wa kufanyia matambiko na kuomba kutatuliwa shida zao mbalimbali.

📍Musasa, Geita

Likes:
0 0
Views:
1298
Article Categories:
TSC