Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima

Parokia ya Bikira Maria Msaada wa Daima, Jimbo Kuu Kahama ni mojawapo ya parokia kongwe zaidi Tanzania.

Parokia hiyo iliyoanzishwa mwaka 1891 ilichangia kwa kiasi kikubwa kuzuia biashara ya utumwa katika eneo la Magharibi linalojumuisha eneo la Tanzania, Rwanda na Burundi.

📍Bukombe, Geita

Likes:
0 0
Views:
200
Article Categories:
TSC