TSC: TUMBUSI

HIFADHI YA TAIFA BURIGI CHATO imejaliwa kuwa na ndege huyu mkubwa anayefahamika kwa jina la Tumbusi ambaye ni jamii ya Tai.

Tumbisi hawana manyoya shingoni wala kichwani
ikilinganishwa na sehemu nyingine za miili yao.

Kinachofurahisha zaidi kwa ndege hawa ni kwamba wanasaidia sana katika kuhakikisha Hifadhi inakuwa safi, kwani wao huvumbua na kula mizoga iliyoachwa na wanyama wanaowinda kama vile Simba pamoja na Chui.

Likes:
0 0
Views:
173
Article Categories:
Uncategorized