TSC Safari Facts: Chimbuko la Biharamulo

Fahamu kaburi la Chifu Kasusura ambaye ni chimbuko la machifu wa mji wa Biharamulo mkoani Kagera na ndiye aliyelisimika kabila la Wasubi.

Chifu Kasusura alizikwa ndani ya nyumba yake.

Likes:
0 0
Views:
296
Article Categories:
Uncategorized