TSC Safari Facts: Detepwani

Detepwani ni ndege wanaopatikana katika ziwa Burigi lililopo katika HIFADHI YA TAIFA BURIGI CHATO.Detepwani ni ndege ambao wanaishi pembezoni mwa maji kama mito na maziwa, na pia inaelezwa kuwa ni ndege wachangamfu sana kwa binadamu.Miongoni mwa tabia za ndege hawa ni kwamba hupatikana katika jozi au kikundi kidogo na huunda viota vikubwa nyakati za usiku.

Likes:
0 0
Views:
353
Article Tags:
Article Categories:
Uncategorized