TSC Safari Facts: Hifadhi ya Taifa Burigi Chato

Je, Unafahamu kwamba Twiga huchukua muda wa nusu saa tu ili aweze kusimama mara baada ya kuzaliwa, na pia anaweza kukimbia baada ya saa 10 toka azaliwe ?.

Likes:
0 0
Views:
191
Article Categories:
Uncategorized