TSC Safari Facts: Kiboko

Kiboko yupo HIfADHI YA TAIFA BURIGI CHATO katika ziwa Burigi.Je, Unafahamu kuwa mpaka sasa Kiboko ndiye mnyama anayefahamika kuwa na mdomo mkubwa zaidi duniani na ndiye anaongoza kwa kupanua zaidi mdomo wake anapopiga miayo?.Kiboko pia ni mnyama anayeweza kusinzia huku mwili wake mzima ukiwa umezama ndani ya maji.

Likes:
0 0
Views:
354
Article Categories:
Uncategorized