TSC Safari Facts: Kuro

Kuro ni wanyama wanaopenda kuishi maeneo yenye maji.Wanyama hawa hupenda sana kushirikiana, na wanaishi pamoja katika makundi ya wanyama 6 hadi 30.Kuna tofauti kati ya Kuro dume na Kuro jike ambapo Kuro dume wana pembe lakini Kuro jike hawana pembe.

Likes:
0 0
Views:
263
Article Categories:
Uncategorized