TSC Safari Facts: Mahakama Kuu Chifu Wa Kihanja

Hii ni sehemu katika Mahakama Kuu ambayo Chifu wa Kihanja kutoka Ikulu ya Kanazi alikuwa anakaa kwa ajili ya kutoa hukumu kwa mtu aliyefanya makosa makubwa yaliyoshindikana katika Mahakama ndogo.

📍KANAZI, BUKOBA | KAGERA TANZANIA

Likes:
0 0
Views:
327
Article Categories:
Uncategorized