TSC Safari Facts: Ndege Fundi Chuma

Huyu ni ndege anayefahamika kwa jina maarufu la Fundi Chuma, jina lililotokana na chogo yake ilivyo mithili ya nyundo.

Ni ndege anayejenga viota vikubwa na imara sana kuliko ndege wengine. Yeye hutumia malighafi kama vile udongo, miti na mawe madogo tofauti na ndege wengine wanaotumia miti na nyasi.

📍BURIGI CHATO NATIONAL PARK

Likes:
0 0
Views:
372
Article Categories:
Uncategorized