TSC Safari Facts: Nyumba Za Msonge.

Nyumba za Msonge ni nyumba za asili za tamaduni ya Kihaya zilizokuwa zinatumiwa na Wazee zamani kabla ya kuwepo kwa nyumba za kisasa.

Nyumba hizi ni kubwa, kwani familia nzima na mifugo ilikuwa ikiishi humo.

📍KAMACHUMU MULEBA| KAGERA TANZANIA

Likes:
0 0
Views:
333
Article Categories:
Uncategorized